Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Oral Literature In Kiswahili Question Paper

Oral Literature In Kiswahili 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2007



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2007/2008
INSTITUTE OF OPEN LEARNING
FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF
ARTS

AKS 403: ORAL LITERATURE IN KISWAHILI

------------------------------------------------------------------------------------------------------------
DATE: FRIDAY 11th January 2008 TIME: 10.30AM ? 12.30PM
===============================================================
MAAGIZO: Jibu swali la KWANZA na mengine mawili.

1. (a) Eleza kwa kifupi tofauti zilizopo kati ya fasihi simulizi na fasihi andishi.
(b) Eleza mshabaha uliopo kati ya fasihi simulizi na fasihi andishi.

2. Ainisha vipengele vinne katika fasihi simulizi na uonyeshe jinsi vipengele hivyo
vinavyofanikisha kazi ya fanani wa utanzu fulani wa fasihi hiyo.

3. Jadili vigezo vitano vinavyoweza kutumiwa kuigawa fasihi simulizi katika makundi
tofauti tofauti.

4. (a) Eleza maana ya istilahi zifuatazo:
(i) Istiara (ii) Mbazi (iii) Kisa
(b) Kwa kila istilahi, toa mfano mmoja na matumizi yake katika fasihi simulizi.

5. Fafanua muundo na dhima ya vitendawili katika jamii.

6. Jadili maudhui na fani katika Taarabu.

***






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers