Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Introduction To The Study Of Literature Question Paper

Introduction To The Study Of Literature 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2007



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2007/2008
FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF
ARTS
AKS 201: INTRODUCTION TO THE STUDY OF LITERATURE
DATE: Friday so" November 2007
TIME: 8.00 - 10.00 a.m.
MAAGIZO: Jibu swali la KWANZA na mengine mawili.
1. Huku ukitoa mifano mahsusi, bainisha uhusiano baina ya fasihi simulizi na fasihi
andishi.
2. "Utunzi na uhakiki wa fasihi ni mambo yanayochangiana." Toa maoni yako.
3. Linganisha na kulinganua tanzu za riwaya na hadithi fupi.
4. "Lugha ni uti wa mgongo wa kazi ya fasihi." Jadili kauli hii.
5. Eleza vipengele mbalimbali vinavyoongoza mtunzi wa tamthilia.
6. Fafanua maana ya dhana zifuatazo za ushairi huku ukitoa mifano:
(a) Urari
(b) Muwala
(c) Utoshelezo
(d) Umaana
(e) Urudiaji
***






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers