Morphology And Syntax Question Paper

Morphology And Syntax 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2008KENYATTA UNIVERSITY
INSTITUTE OF OPEN LEARNING (IOL)
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2007/2008
SPECIAL EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF
EDUCATION AND BACHELOR OF ARTS

AKS 300:
MORPHOLOGY AND SYNTAX

DATE: Tuesday, 7th October, 2008

TIME: 3.00 p.m. ? 5.00 p.m.
------------------------------------------------------------------------------------------------------------
MAAGIZO:
Jibu maswali MATATU
1.
a)
Eleza dhana ya mofolojia
b)
Kwa kutoa mifano bainisha umuhimu wa somo la mofolojia.

2.
Kwa kutoa mifano ya Kiswahili, eleza sifa tatu kuu za mofimu.

3.
a)
Orodhesha alomofu zilizomo katika maneno haya:-
i)
endesha
ii)
pitisha
iii)
mzee
iv)
muungwana
v)
toza
vi)
mwanahewa
b)
Eleza umuhimu wa dhana ya mofu na alomofu

4.
Kwa kutoa mifano eleza udhaifu wa nadharia ya kimapokeo/sarufi jadi.

5.
Fafanua dhana hizi.
a)
Sarufi elekezi
b)
Kirai Nomino
c)
Sentensi sahili

6.
a)
Fafanua dhana ya ugeuzaji

b)
Kwa kutoa mifano dhihirisha mageuzi mbalimbali yanaweza kufanyiwa
sentensi hii.
Mama anapika chakula


2

More Question Papers


Search for school, college and university past papers.

Return to Question Papers    
Quick Links
Kenyaplex On Facebook