Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Phonetics And Phonology Question Paper

Phonetics And Phonology 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2010



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2008/2009
INSTITUTE OF OPEN LEARNING
EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS

AKS 200:
PHONETICS AND PHONOLOGY
=================================================================
DATE: THURSDAY 18TH FEBRUARY 2010

TIME: 2.00 P.M. ? 4.00 P.M.

AGIZO
Jibu Maswali matatu: Swali la kwanza ni la lazima.

Sehemu A: Swali la lazima

1.
Tofautisha jozi tano na vitamshi zinavyoshirikiana katika kutamka sauti za
konsonanti.
(Alama
24)

Sehemu B:
Jibu maswali mawili
2.
Taja vokali msingi tisa na uziwakilishe katika jedwali la vokali. (Alama
23)

3.
Fafanua na udhihirishe wazi usimilisho wa konsonanti unavyojitokeza katika lugha

zozote mbili.






(Alama 23)

4.
Bainisha namna ambavyo sifa arudhi hutofautisha maana leksia (maana msingi) kwa
kurejelea
lugha
zozote
tatu.
(Alama
23)

5.
Eleza na udhihirishe dhana ya umbo la silabi kwa kurejelea maumbo yoyote matano,

na uwakilishe katika vielelezo
matawi. (Alama
23)

6.
Nukuu maneno yafuatayo katika hati za kifonetiki.

a)
orodha [_________________]
b)
nyuso [___________________]

c)
gharama [_________________]
d)
chinja [___________________]

e)
jengo [_________________]
f)
kheri [___________________]









(Alama 23)
Page 1 of 1






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers