Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Second Language Learning Question Paper

Second Language Learning 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2009



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2008/2009
SECOND SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR
OF ARTS
AKS 401: SECOND LANGUAGE LEARNING

DATE: Friday 11th September, 2009 TIME: 4.30 p.m. ? 6.30 p.m.

AGIZO:
Jibu maswali matatu. Swali la kwanza ni la lazima.

1.
?Matokeo ya utafiti wa lugha ya pili yana umuhimu kwa watafiti wa taaluma
mbalimbali?. Fafanua kauli hii.




[Alama 26]

2.
Eleza udhaifu wa nadharia ya uchanganuzi linganuzi katika utafiti wa makosa
yanayofanywa na wanafunzi wa lugha ya pili.


[Alama 22]

3.
Jadili mbinu nne zozote zinazotumiwa katika utafiti wa lugha ya pili.










[Alama 22]
4.
Eleza jinsi mielekeo ya mwanafunzi inavyoweza kumwadhiri anapojifunza lugha
ya
pili.
[Alama
22]
5.
Dhihirisha mchango wa taaluma ya isimu-jamii katika ufafanuzi wa masuala
yanayohusu ujifunzaji wa lugha ya pili.



[Alama 22]

6.
Fafanua misingi ya nadharia ya utabia kwa mujibu wa Skinner (1957).










[Alama 22]
???????????.
Page 1 of 1






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers