Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Aks 320: Short Story In Kiswahili Question Paper

Aks 320: Short Story In Kiswahili 

Course:

Institution: The Presbyterian University Of East Africa question papers

Exam Year:2014



THE PRESBYTERIAN UNIVERSITY OF EAST AFRICA
DEPARTMENT OF EDUCATION
END OF SEMESTER EXAMINATION
AKS 320: SHORT STORY IN KISWAHILI
CAMPUS: KIKUYU DATE: APRIL 2014 TIME:
MAAGIZO: JIBU MASWALI MATATU: SWALI LA KWANZA NI LAZIMA.
1 (a).Eleza maana ya hadithi fupi (alama 2)
(b)Fafanua sifa kumi za hadithi fupi (alama 20)
(c )Eleza mambo manne ya kuzingatia unapochambua hadithi fupi (alama 8)

2. Kwa kutoa mifano fafanua hadithi ya uteuzi wa moyoni na Tuzo kwa upande wa maudhui (alama 15)

3. Huku ukiambatisha mifano mwafaka fafanua hadithi ya Fumbo la Mwana na Ndimi za Mauti kwa upande wa mbinu za lugha (alama 15)

4. Kwa kutoa mifano mwafaka jadili hadithi zozote mbili katika Damu Nyeusi kwa upande wa wahusika (alama 15)

5. Watunzi wa hadithi katika kitabu cha Damu Nyeusi wamefaulu sana kujadili maswala yanayoathiri jamii ya leo. Thibithisha kwa kuzingatia hadithi zozote mbili (alama 15)






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers