Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Kis 221: Kiswahili Morphology Question Paper

Kis 221: Kiswahili Morphology 

Course:Bachelor Of Arts

Institution: Moi University question papers

Exam Year:2015



1.Jadili nafasi ya mofolojoa Katika isimu peke ya kiswahili.
2.Utetee ubantu wa kiswahili kwa kuzingatia hoja nne za kimofolojia.
3.Itathmini hoja ya Myachina(1981) kuwa hakuna vielezi katika kiswahili.
4.Eleza jinsi mabadiliko yafuatayo ya kimofofonemiki yanavyodhihirika katika kiswahili.
i)Kuafikiana kwa vokali
ii)Ukakayesho
iv)Udondoshaji
v)Kuathiriwa kwa nazali
5.Jadili jinsi mbinu zifuatazo zinavyotumika katika kuimarisha msamiati wa kiswahili.
i)Ukopaji
ii)Mwambatanisho
iii)Upanuzi wa maana
iv)Ufupishaji
6.a)Eleza dhana "kivumishi".
b)Jadili aina nne za vivumishi katika kiswahili.
7.Jadili aina za mofu zinazopatikana kwenye mapengo ya 2,4,5 na 9 katika vitezi vya kiswahili.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers