Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Epe 407/ Epe 425 Mseto Katika Kiswahili Lugha Na Fasihi Question Paper

Epe 407/ Epe 425 Mseto Katika Kiswahili Lugha Na Fasihi 

Course:Bachelor Of Education

Institution: Moi University question papers

Exam Year:2016



MAAGIZO: JIBU SWALI LA KWANZA NA MENGINE MAWILI
1. a) eleza kwa mifano mwafaka dhana mofimu
b) fafanua kwa mifano mwafaka vivumishi vya sifa
c) Jadili umihimu wa mofolojia katika lugha
d) eleza kikamilifu dhana zifwatazo
(i) foni
(ii) fonimu

2. Jadili kwa mifano thabiti upatanisho wa sarufi ukijikita katika ngeli ya U-I

3.kwa mifano mahususijadili
a) vielezi namna
b) vivumishi vya pekee

4. fasihi simulizi ina umuhimu gani kwa wanafunzi wa shule ya msingi

5. onyesha jinsi mwalimu wa kiswahili katika shule za msingi ( madarasa ya chini) anavyoweza kuimarisha ufundishaji wa kiswahili, kwa kutumia nyimbo






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers