Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Kiswahili Karatasi 3 Mwongozo Wa Kusahihishia Question Paper

Kiswahili Karatasi 3 Mwongozo Wa Kusahihishia 

Course:Kiswahili

Institution: Form 4 question papers

Exam Year:2016

WILAYA YA WESTLANDS - MTIHANI WA TATHMINI
YA PAMOJA

KISWAHILI
Karatasi 3
Julai/Agosti 2016
MWONGOZO WA KUSAHIHISHIA

MWONGOZO WA KUSAHIHISHIA
1. Swali la lazima

1.a) Hadithi Mke wangu
msimulizi alidhamiria kumuoa mke mbichi ambaye angemthibiti.
lakini Aziza akatokea kuwa kinyume
mama yake msimulizi alitamani ndoa ya mwanawe na Aziza ifaulu na hata kuwatengea vyumba vitatu ... lakini haikufaulu

b) Samaki wa Nchi za joto
Christine alitamani mapenzi ya dhati kutoka ka Peter lakini ikatokea Peter alimtumia tu
wavuvi alijitahidi kuvua samaki na kudhamiria kupata faida lakin Peter aliwapunja

c) Damu Nyeusi
Fikirini alijitahidi katika masomo yake chuoni lakini wahadhiri hawakumpa alama bali walipendelea wanafunzi wazungu

d) Hadithi- Gilasi ya Mwisho Makaburini
Licha ya Semkwa, Asha, Josefina kukataa kushawishiwa na Msoi kuwa kuna jambo baya ambalo lingefanyika katika Baa ya Makaburini ilikuja kutimia

e) Maeko
Hamduni anajitahidi kuacha pombe na kutomtesa mkewe bado anajipata katika hali ile ile mara kwa mara
Licha ya Salim, Ramla na shangazi yake Jamila kumshawishi aachane na Hamduni katika ndoa, Jamila alikaidi na kubaki pale pale

f) Maskini Babu yangu
Mzee Babu Maende alidhamiria kupata nafuu huko mjini alipoenda kwa mwanawe lakini aliishio kukutana na kifo chake
Msimulizi alijaribu kumuokoa babu yake kutoka kwa wanakijiji waliompiga kipopo lakini bado babu aliuawa

g) Shaka ya Mambo
Jitihada za Esther kumrudishia mteja mzungu pesa zake hazikufanikiwa - Kamata alizichukua
Matumaini ya Esther kubadilishiwa zamu na Grace hayakufikiwa
Kutamani kwa Esther kuwa pamoja na kamata kwa urafiki zaidi hakukufanikiwa kwa sababu alionekana kuwa rafiki zaidi kwa Grace

h) Ndoa ya Samani
Mama yake Amali alijitahidi kumtaka bintiye aolewe na Abu lakini Abu alipopata mali hakumuoa
Abu alimtamani Amali amuoe lakini posa yake ikakataliwa

i) Tazamana na Mauti
Maazimio ya Lucy kufika London na kuishi maisha ya kifahari hayakufikiwa kwani ingawa alifika alifariki punde tu baada ya kurithishwa mali
Mzee Crusoe aliazimia kupata mtu wa kumsaidia maishani. Akampata Lucy lakini Lucy akapata ajali akafa na kumwacha.

j) Mwana wa Darubini
Kananda alijitahidi kuinua maisha kwa kufanya kazi kwa Mwatela lakini maisha yake yakasambaratishwa ingawa alirithishwa mali / nyumba baadaye
Kananda alitamani kuwa na mwanawe lakini alitenganishwa naye baada ya kuuzwa Kongo ingawa walikutanishwa baadaye
Bw. Mwatela alimtoa Kananda kwa dereva wa Kongo akidhamiria kuwa angetoweka kabisa kutoka kwa familia yake lakini aliishia kurudi na ukweli kifuchuliwa

k) Mzizi na Matawi
Bi Mkubwa alitamani kuishi na Sudi kama mwanawe lakini Sudi aliishia kumpata mama yake mzazi
Bi Kudura baada ya kumtupa mtoto pipani hakufa, msamaria mwema Bi Mkubwa alimwokoa
(Hoja zozote 5 x 4 = 20)

Kutaja hadithi alama 1
Kutaja wahusika wanaofaa - alama 1
Maelezo mwafaka - alama 2 = alama 4

2.a)
Mnenaji - Mtemi Nasaba Bora
Mnenewa - Mwalimu Majisifu
Majisifu amemtembelea Mtemi nyumbani/wameketi ukumbini
Mtemi anamuuliza kwa nini hakuhudhuria sherehe ya Sikukuu ya Wazalendo ambapo anajibu kuwa alikuwa kwenye ‘ibada’ - maana yake - ulevini. Ndipo mtemi anamshauri
(4 x 1 = alama 4)

b) Wahusika hawa ni riale kwa ya pili - wanafanana
ni waasi wa dini japo baba yao alikuwa kasisi
hawawajibiki kazini
- Majisifu akiwa mwalimu ni mlevi
- Mtemi akiwa kiongozi ni fisadi
Ni wezi - Majisifu - mswada
Mtemi - mashamba, hela
iv) wapyaro - kuwatukana watu
v) ndoa zao zina matatizo
vi) si walezi wema
- Majisifu hasaidi kwa watoto wake walemavu.
- Mtemi anamshurutisha madhubuti kuchukua kazi iliyopatikana kwa mlungura na hamshughulikii bintiye Mashaka
vii) wanapenda kujihusisha na dini - Majisifu alighairi kusomea ukasisi.
viii) Mtemi anapoharibikiwa na mambo anasoma biblia aliyopewa na babake
ix) wote wawili ni wenye kiburi
x) wote wawili ni wa tabaka la matajiri walikuwa na mali n.k.
(hoja zozote 8 x 1 = 16)

3. Ujenzi wa jamii mpya
i) Jamii mpya ambayo haitakuwa na unyanyasaji k.v. kunyang’anya wanyonge mali yao / mashamba yao kama alivyofanya mtemi Nasaba bora kwa familia za Amani
ii) Jamii mpya ambayo haitakuwa na ufisadi k.v. Mtemi Nasaba Bora alivyohonga wakuu serikalini ili mwanawe Madhubuti aajiriwe katika jeshi
iii) Jamii inayotekeleza haki siyo yenye kufunga jela watu wasio na hatia kama alivyofungwa Yusufu ami yake Amani kupitia mipango ya Mtemi
iv) Jamii isiyotekeleza mauaji kwa watu wasio na hatia jinsi alivyouawa Chichiri Hamadi babaye Amani kupitia njama ya Mtemi Nasaba Bora.
v) Jamii isiyo na ukatiti k.v.
- Mtemi Nasaba Bora alivyotupa kitoto chake kichanga mlangoni pa Amani,
- alivyompiga Amani nusura amuue
- alivyokataa kushughulikia matibabu ya Bob DJ baada ya kung’atwa na mbwa wake n.k.
vi) Jamii yenye viongozi waliowajibika na kutumikia wananchi
vii) Jamii yenye viongozi waliowajibika na kutumikia wananchi
vii) Jamii inayotambua na kuauni mashujaa wa zamani k.v. mzee Matuko Weye
viii) Jamii isiyopuuza walemavu sio kama mwalimu Majisifu
ix) Jamii isiyo zinifu yenye ndoa zilizo na uaminifu
x) Jamii yenye vijana wanaoweza kungoja hadi waoane kabla ya kushiriki mapenzi
xi) Jamii yenye waandishi wanaochapishiwa miswada yao ikiwa mizuri sio inayoibiwa na kutumika na wengine
xii) Jamii yenye watu ambao hawataendelea kunyamaza wakinyanyaswa lakini watajikomboa kwa kufanya mageuzi
xiii) Jamii yenye kujali masilahi ya wengine na kugawa rasilimali zilizopo kwa maskini kama alivyofanya Amani kwa Matuko Weye
xiv) Jamii yenye msamaha na isiyo na kisasi k.v. Amani alikuwa na nafasi ya kumdhuru Mtemi Nasaba Bora lakini akaamua alipe ubaya kwa wema
xv) Jamii yenye huduma bora za kimsingi k.m afya kwa wananchi sio kama vile zahanati ya Nasaba Bora ilivyokuwa
(hoja zozote 10 x 2 = 20)

4.a)
Msemaji ni Diwani III (alama 1)
Msemewa ni Siki (alama 1)
Mahali ni nyumbani mwa Diwani III. Siki alipomtembelea ili wazungumze (alama 1)
Kuhusu hali na uongozi wa baraza la mji wa Cheneo (alama 1)

b)
i) Ni mtetezi wa haki
- Anawatetea wafanyakazi kwa Meya.
- Anawahimiza watu watibiwe hata kama hawana fedha
ii) Ni mshauri mzuri
- anamshauri Meya vizuri ili Meya aueze
- kuyatatua matatizo ya wanacheneo
- anamshauri Tatu kwamba mgomo ni njia bora ya kutatua matatizo
iii) Ni mwerevu / mwenye busara
- anaelewa haraka anapoelezwa na Diwani III kuwa watu wana mchango katika uongozi mbaya
- anaelewa mchango wa wataalamu kama yeye katika tatizo la uongozi wa baraza
iv) Ni jasiri
- anamkabili Meya na kumkosoa bila hofu
- hakutishika alipoelezwa na Diwani III kuwa kuna sheria zinazompa Meya uwezo mkubwa
v) Ni mwajibikaji
- hakuwa tayari kuacha kazi japo mazingira ya kufanya kazi yalikuwa mabaya
(hoja zozote 4 x 1 = 4)
Sharti mtahiniwa amtaje Siki pale mwanzoni ili apate alama

c) Taswira (alama 2)

d) ‘Harufu’ nyingine imetumika kijazanda kueleza dhana ya uozo au maovu yanayofanywa katika baraza la mji wa Cheneo k.m.
i) Uongozi mbaya
- Meya, Diwani I na II ni viongozi wabaya kwani hawajali maslahi ya umma
- Meya wa Cheneo anaendeleza utawala uliojaa udhalimu kwa raia wake
- viongozi kama Meya, Diwani I na II hawataki kulipa kodi inavyotakikana kisheria
ii) Ufisadi
- Meya na Bili wamejinyakulia vipande vingi vya ardhi ya umma
Meya, Bili, Diwani I na II wanapanga njama ya kuiiba fimbo ya Meya na kuiuza ng’ambo
iii) Wizi
Meya, Diwani I na II ni vibaraka / vikaragosi wanaomuunga Meya mkono bila kujali maslahi ya wafanyakazi na raia kwa ujumla
iv) Ubarakala
Diwani I na II ni vibaraka / vikaragosi wanaomuunga Meya mkono bila kujali maslahi ya wananchi.
(zozote 5 x 2 = 10)

5. a)
i) Majazi
- Bwana uchumi na Kazi - Diwani aliyeshughulikia maswala ya kiuchumi na kazi katika baraza
- Bwana usalama - Diwani aliyeshughulikia usalama katika mji wa Cheneo
- Bwana uhusiano mwema - Diwani aliyehakikisha uhusiano baina ya baraza na umma umedumishwa
- hoteli ya kajifahari - walipoenda watu wa kifahari ili kujifurahisha.
- Bwana kheri - (Diwani III) alitetea Cheneo
- Waridi - ua linalonawiri na kisha
- mji wa Shuara - mji ambao mambo yalikuwa shwari - sawasawa bila bughudha
(zozote 2 x 1 = 2)

ii) Uzungumzi nafsia
- Meya anazungumza peke yake akirejelea mwanakandarasi aliyemshtaki (uk.23)
- Meya anapopanga mikakati ya mapokezi ya mameya wageni (uk.25)
- Siki baada ya kuongea na Tatu kwa simu (uk.34)
- Meya baada ya kuongea na Diwani III alipomwalika ofisini mwake (uk.56)
- Meya anapofurahia kusikia milio ya risasi na vilio vya watu wakati wa mgomo (uk.57)
(zozote 2 x 1 = 2)

iii) Nyimbo / Ushairi
- wanafunzi wanapogoma. “Haki yetu! Uk.57
- Dida anapoigiza askari (uk.64)
(zozote 2 x 1 = 2)

iv) Tashbihi
- amekufa kama nzi (uk.65)
- eti bahati ikisimama kama mtende (uk.42)
- eti meya ni kama mtoto (uk.43-44)
(*Mwanafunzi ataje muktadha wake)
(zozote 2 x 1 )

v) Kuchanganya ndimi
- bloody hens uk. 8
- nonsense! uk. 8
- chief security uk.32
- prime plot uk.27
- fridge uk. 17
(*Ataje muktadha wake)
zozote 2 x 1 = 2

b) Msemaji analalamikia manufaa ya:
- watu wengi hawana kazi Cheneo
- walio na kazi hulipwa mishahara duni
- mishahara hailipwi kwa wakati, - hucheleweshwa
- baadhi ya watu wamefutwa kazi kupunguza idadi ya wafanyikazi
- kaka zao (mataifa ya ng’ambo) hawjatoa hela za kuongezea mishahara
(zozote 4 x 1 =4)

ii) Umuhimu wa msemaji - (Diwani III) kupitia kwake/ni kielelezo cha :
- viongozi wenye maono na Sera mwafaka licha ya kuwa miongoni mwa wadhalimu
- kiongozi aliyechaguliwa ni mwakilishi mwema wa umma
- umuhimu wa ujasiri na uwajibikaji katika utawala dhalimu
- uzalendo kamili unatokana na huduma bora na haki sio propaganda
- ukakamavu ni muhimu sana katika utetezi wa haki/umma
- umuhimu wa kusikiliza mawaidha
- Meya alijutia kutomsikiliza Diwani III
mfano mwingine utakaofaa
(hoja zozote 6 x 1 = 6)

6. a) i) Sanaa ya mazungumzo yanayoambatana na matendo. Wahusika huigiza hali na tabia fulani katika jamii. Kwa mfano maigizo ya :
- jukwaani
- vichekesho
- michezo ya watoto
- ngonjera
- majigambo / vivugo
(maelezo alama 1, mfano alama 1 = 2)

b) Dhima ya maigizo (mwanafunzi ataje neno maigizo) katika ufafanuzi wake.
i) Huburudisha na kupumbaza - wakati wowote
ii) Hukuza uwezo wa kukumbuka
iii) Hukuza ubunifu - kuiga sauti na watu wengine
iv) Hukuza umoja-watu wanapotazama michezo pamoja urafiki huibuka
v) Hukosoa jamii - watu wafanyao mambo kinyume hutungiwa michezo kukosoa tabia mbaya k.v. ufisadi, wivu, uchoyo n.k.
vi) Huimarisha uwezo wa kuzungumza hadharani
vii) Huimarisha ukakamavu wa kuongea hadharani
viii) Huhifadhi utamaduni wa jamii n.k.
hoja zozote 4 x 2 = 8
(hoja alama 1, maelezo alama 1 = 2)

7. Ushairi
a) Shairi huru. Halifuati arudhi za utunzi
(alama 2)

b) Nafsineni - nafsi ya kwanza (alama 2)

c) i) Kuna mishororo ingawa hailingani katika beti zote
ii) Shairi lina beti 6
iii) Vina vya shairi havilingani
iv) Mizani si saaw katika mishororo yote
(hoja zozote 4 x 1 = 2)

d) Toni - ya kutosheka alama 1
- ya kufurahia kula alama 1

e) Mshairi anashangaa jinsi walivyoishi pamoja chini ya bendera moja huku wakiwa na tofauti baina yao. Hii ni kwa sababu walikuwa katika matabaka mbalimbali yaliyomithilishwa kama ardhi na mbingu
(kila maudhui ya kila mshororo
alama 1 x 5 = 5)

f) i) tashbihi - kama ardhi na mbingu
ii) msemo - mafunda kupiga
iii) jazanda - Ndipo nikaona wenzangu wananchi.
Mizizi wakila na matunda mwitu (wakiteseka / wakihangaika)
(Hoja zozote 2 x 1 = 2)

g) i) kumbo - bidii ya kuanza kula (alama 1)
ii) bakunja - kushikwa (alama 1)
iii) sarabi - mazingira ya kudanganya macho (alama 1)

More Question Papers

Popular Exams

Return to Question Papers