Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Nadharia Ya Usanifishaji Wa Kiswahili Question Paper

Nadharia Ya Usanifishaji Wa Kiswahili 

Course:Bachelor Of Education

Institution: Jaramogi Oginga Odinga University Of Science And Technology question papers

Exam Year:2015



JARAMOGI OGINGA ODINGA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY
SCHOOL OF HUMANITIES AND SOCIAL SCIENCES
UNIVERSITY EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF EDUCATION
( ART) WITH IT
2ND YEAR FIRST SEMESTER 2014/2015 ACADEMIC YEAR
CENTRE: BUSIA
COURSE CODE: AKI 201 : NADHARIA YA USANIFISHAJI WA KISWAHILI
EXAM VENUE: BUSIA STREAM: B.Ed (ARTS)
DATE: EXAM SESSION:
TIME: 2 HOURS
___________________________________________________________________________
___
Instructions
1. Answer question 1(compulsory) and ANY other 2 questions.
2. Candidates are advised not to write on the question paper.
3. Candidates must hand in their answer booklets to the invigilator while in examination
room.

1. a) Fafanua dhana, Usanifishaji wa Kiswahili ( alama 2)

b) Eleza misukumo iliyochangia haja ya usanifishaji wa Kiswahili kabla ya 1930.( alama 8)

c) Eleza hatua TATU zilizofuatwa kabla ya kitabu kuchapishwa(alama 6)

d) Taja sababu TANO zilizokifanya Kimvita kipendekezwe kuwa lahaja ya usanifishaji wa Kiswahili( alama 5)

e) Eleza changamoto NNE zinazokabili matumizi ya Kiswahili sanifu nchini Kenya.( alama 4)

f) Eleza mikakati iliyotumiwa na lugha ya Kiswahili kukidhi mahitaji ya kimawasiliano baada
ya kusanifishwa kwake.(alama 5)

2.Eleza kwa uwazi majukumu ya Kamati ya Lugha ya Afrika Mashariki( alama 20)

3. Ainisha hatua KUU katika upangaji wa lugha( alama 20)

4. Bainisha wazi mgogoro ulioibuka miongoni mwa wataalamu wa lugha ya Kiswahili baada
ya Kiunguja kuteuliwa kuwa lahaja ya usanifishaji.( alama20)

5.Fafanua mielekeo yoyote mipya katika usanifishaji wa lugha ya Kiswahili.(alama 20)






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers