📘 Access 10,000+ CBC Exams With Marking Schemes

Prepare your learners for success! Get CBC-aligned exams for Grades 1–9, PP1–PP2, Playgroup and High School - all with marking schemes.

Browse Exams

Instant download • Trusted by 100,000+ teachers • Updated weekly

Kiswahili Karatasi Ya 1 Insha Form 4 Question Paper

Kiswahili Karatasi Ya 1 Insha Form 4 

Course:Kiswahili

Institution: Form 4 question papers

Exam Year:2015



102/1
KISWAHILI
Karatasi ya 1
March – June 2015

INSHA

MUDA: SAA 13/4

Kenya Certificate of Secondary Education – Mtihani wa Majaribio la 3
KISWAHILI
Karatasi ya 1

INSHA

Muda: Saa 13/4

Maagizo
a) Andika insha mbili: insha ya kwanza ni ya lazima
b) Kisha chagua insha moja nyingine kutoka hizo tatu zilizobakia
c) Kila insha isipungue maneno 400
d) Kila insha ina alama 20
e) Watahiniwa ni lazima waangalie kama kurasa zote za karatasi hii zimepigwa chapa sawasawa na kuwa maswali yote yamo.


1. Wewe ni mwandishi wa habari uliyetembelea ofisi ya takwimu ya umoja wa mataifa inayohusiana na haki za binadamu. Andika mahojiano kati yako na afisa mkuu anayehusiana na maswala ya haki za binadamu kuhusu vile haki za binadamu zilivyokiukwa wakati wa ghasia za uchaguzi nchini mwako.

2. Kufanya hali kuwa bora katika magereza ni kukuza uhalifu. Jadili.

3. Andika insha itakayoishia kwa maneno haya:................................ nilisimama nikaangalia nyuma, machozi yakanitoka njia mbilimbili nilipokumbuka wosia wa walimu. Wazazi na wenzangu.

4. Mguu mtembezi haukosi mwiba.






More Question Papers


Exams With Marking Schemes

End Term 3 Exams

Mid Term Exams

End Term 1 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers