Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Kis 211: Kiswahili Phonetics And Phonology Question Paper

Kis 211: Kiswahili Phonetics And Phonology 

Course:Bachelor Of Arts In Kiswahili

Institution: Maasai Mara University question papers

Exam Year:2017



MAASAI MARA UNIVERSITY

REGULAR UNIVERSITY EXAMINATION
2016/2017 ACADEMIC YEAR
SECOND YEAR SECOND SEMESTER

SCHOOL OF ARTS AND SOCIAL SCIENCES
BACHELOR OF ARTS IN KISWAHILI

COURSE CODE: KIS 211

COURSE TITLE: KISWAHILI PHONETICS AND PHONOLOGY

INSTRUCTIONS
Answer question 1 and any other two.

1. a) Eleza maana ya fonetiki. (alama 4)
b) Eleza sifa bainifu za vokali tano za kiswahili (alama 10)
c) Andika maneno haya kwa hati za kifonetiki (alama 4)
i) dhambi
ii) gharamia
iii) otesheana
d) Eleza dhana zifuatazo zinazohusiana na taaluma ya fonolojia kwa kutoa mifano. (alama 12)
i) Jozi ya mlinganuo finyu
ii) Mgawanyo wa kiutoano
iii) Mpishano huru

2. Fafanua uhusiano uliopo kati ya taaluma za fonetiki na fonolojia. (alama 20)

3. Jadili namna mifanyiko yoyote minne ya kifonolojia huchangia katika kuafikia silabi inayopendelewa katika lugha ya kiswahili. (alama 20)

4. Mbali na sauti za lugha, namna matamko yalivyotokea huchangia katika kubadilisha maana wakati wa mazungumzo. Jadili kauli hii kwa kutoa mifano faafu. (alama 20)

5. Jadili mchango na majukumu ya Chama cha Kimataifa cha Fonetiki katika taaluma ya fonetiki. (alama 20)






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers