Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Aks 100: Introduction To The Study Of Language Question Paper

Aks 100: Introduction To The Study Of Language 

Course:Bachelor Of Education

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2005



KENYATTA UNIVERSITY
SCHOOL FOR CONTINUING EDUCATION
B.ED PRIMARY

DEPARTMENT OF KISWAHILI

AKS 100: INTRODUCTION TO THE STUDY OF LANGUAGE

MJARABU I

1. Taja sababu tatu za isimu kuitwa sayansi (3mks)

2. Lugha ni nini? (2mks)

3. Taja sifa bia zozote tano zinazoitenga lugha ya mwanadamu na mawasiliano ya wanyama (3mks)

4. Taja sababu nne za kuzuka kwa uwili lugha (3mks)

5. Kwa kutoa mifano, eleza dhana zifuatazo.
i. Fonimu (2mks)
ii. Alofoni (2mks)
iii. Mofimu (2mks)
iv. Alomofu (2mks)






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers