Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Oral Literature In Kiswahili  Question Paper

Oral Literature In Kiswahili  

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2009




KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2008/2009
SECOND SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR
OF EDUCATION AND BACHELOR OF ARTS

AKS 403: ORAL LITERATURE IN KISWAHILI

DATE:
Tuesday 25th August, 2009

TIME: 11.00a.m-1.00p.m
------------------------------------------------------------------------------------------------------------
MAAGIZO:
Jibu Maswali Matatu. Swali la Kwanza ni la lazima

1.
Jadili uanishaji wa vigezo vinavyotumiwa katika kugawa fasihi simulizi katika vipera mbalimbali.
2.
Eleza kwa tafsili istilahi zifuatazo katika muktadha wa fasihi simulizi:
a) Fanani
b) Hadhira fiche
c) Mtanziko
d) Mbazi
e) Upeo wa juu
3.
a)
Bainisha tofauti kati ya visasili na visakale
b)
Tathmini majukumu ya kisakale katika jamii huku ukitoa mfano mahsusi.
4.
Huku ukitoa mifano isiyopungua mitano, jadili hoja kwamba vitendawili huweza kutumiwa kufunza historia ya jamii.
5.
Fafanua kwa tafsili mambo Manne yanayokamilisha fasihi simulizi
6.
Fasihi simulizi kama utanzu wa fasihi umepitwa na wakati. Jadili.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers