Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Introduction To The Study Of Literature  Question Paper

Introduction To The Study Of Literature  

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2008



KENYATTA UNIVERSITY
INSTITUTE OF OPEN LEARNING (IOL)
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2007/2008
EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS
AKS 201: INTRODUCTION TO THE STUDY OF LITERATURE

DATE: FRIDAY, 11TH JANUARY 2008 TIME: 8.00 A.M. ? 10.00 A.M.
------------------------------------------------------------------------------------------------------------

MAAGIZO: Jibu swali la KWANZA na mengine mawili.


1. Majukumu ya fasihi simulizi na fasihi andishi ni sawa.? Fafanua kupitia mifano.
2. Fasihi ni sanaa ya maneno.? Jadili.
3.
(a) Fafanua maana ya riwaya kama utanzu wa fasihi.
(b) Taja aina za riwaya huku ukieleza sifa bainifu.
4. Fafanua vijenzi muhimu vinavyodhihirika katika tamthilia.
5. Eleza kwa kifupi dhana zifuatazo:
(a) Dhamira
(b) Maudhui
(c) Fani
6. Eleza vipengele muhimu vinavyozingatiwa katika uhakiki wa ushairi.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers