Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Language Skills In Kiswahili Question Paper

Language Skills In Kiswahili 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2009



KENYATTA UNIVERSITY
MOMBASA CAMPUS
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2008/2009
SECOND SEMESTER EXAMINATIONS FOR THE DEGREE OF BACHELOR
OF ARTS

AKS 101:
LANGUAGE SKILLS IN KISWAHILI

DATE: FRIDAY 3RD APRIL, 2009 TIME: 2.00 P.M. ? 4.00 P.M.

MAAGIZO

?
Jibu Swali la Kwanza na mengine mawili.

1.
Fafanua dhana ya mawasiliano huku ukizingatia vipengele sita muhimu vya nadharia ya mawasiliano. (Alama 26)
2.
Sajili ya matangazo ya kibiashara huwa bainifu?. Jadili (Alama 22)
3.
Bainisha mambo saba muhimu ambayo mwandishi wa hutuba anahitaji kuyazingatia, (Alama 22)
4.
Eleza na utoe mifano mitano ya mitindo ya marejeleo ambayo hutumiwa katika uandishi wa kiakademia. (Alama 22)
5.
Taja na ueleze majukumu manane ya uakifishaji wa nje na ndani ya sentensi huku ukitoa mifano. (Alama 22)
6.
Lugha ya mazungumzo inafanana kwa kiasi fulani na lugha ya maandishi. Jadili. (Alama 22)






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers