Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Sociolinguistics Question Paper

Sociolinguistics 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2007



KENYATTA UNIVERSITY
INSTITUTE OF OPEN LEARNING
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2006/2007
EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS
AKS 400: SOCIOLINGUISTICS
DATE: Monday 15th January, 2007
TIME: 9.00 a.m. - 11.00 a.m.
-----------------------------------------------------------
MAAGIZO
Jibu maswali matatu tu. Swali laKWANZA ni la lazima:
1.
"Lughahaiwezi kutenganishwana jamii", Jadili madai haya kwa kutoa mifano ifaayo.
2.
Fafanuakikamilifudhana zifuatazo za isimujamii.
(a)
iglosia
(b)
Jumuiyalugha
(c)
LinguaFranka
(d)
Krioli
3.
"Kuzukakwa uwili-lughakatikajamii nijambo ambalo haliwezi kuepukika". Jadili.
4.
Huku ukitoa mifano, fafanua dhana zifuatazozinazojitokezakatika upangaji wa lugha.
(a)
Mpangowa lugha kihadhi
(b)
Mpangowa lugha kifahari
(c)
Mpangowa lugha kiurithi
5.
Onyeshanamna lugha zinavyoakisitofauti za kitabakakatikajamii.
6.
Kwa kurejelea mifano inayofaa,eleza namna lugha inavyowezakukuzwana kustawishwa.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers