Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Phonetic And Phonology  Question Paper

Phonetic And Phonology  

Course:Bachelor Of Arts In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2009



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2008/2009
MOMBASA CAMPUS
SECOND SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF
ARTS
AKS 200: PHONETIC & PHONOLOGY

DATE: WEDNESDAY, 1ST APRIL 2009
TIME: 11.00 A.M. ? 1.00 P.M.

MAAGIZO: Jibu swali la kwanza na mengine mawili.

1.
Foni, fonimu na alofoni ni dhana ambazo zina uhusiano kwa kima fulani. Kwa kutoa mifano muafaka kutoka lugha ya Kiswahili na nyingine yoyote ya Kibantu, thibitisha. (Alama 26)
2.
Huku ukitoa mifano mahususi, bainisha waziwazi uhusiano uliopo baina ya fonetiki na fonologia. (Alama 22)
3.
Silabi yaweza kuainishwa katika makundi manne. Dhihirisha madai haya. (Alama 22)
4.
Jadili kwa kina taratibu tatu ambazo zaweza kutumiwa katika uainishaji wa vokali za Kiswahili. (Alama 22)
5.
Kwa kutoa mifano mitatu kwa kila moja, eleza aina tatu za mageuko ya sauti ambayo hujidhihirisha katika lugha ya Kiswahili. (Alama 22)
6.
Fafanua dhana ya sifa arudhi huku ukielezea sifa za kimsingi na kutua mifano. (Alama 22)






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers