Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Language Skills In Kiswahili Ii  Question Paper

Language Skills In Kiswahili Ii  

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2008



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2007/2008
INSTITUTE OF OPEN LEARNING
SUPPLEMENTARY/SPECIAL EXAMINATION FOR THE DEGREE OF
BACHELOR OF ARTS/EDUCATION

AKS 101: LANGUAGE SKILLS IN KIWAHILI II

DATE: Tuesday 7th October 2008 ___________TIME: 8.00am ? 10.00am

MAAGIZO:
JIBU MASWALI MATATU.
SWALI LA KWANZA NI LAZIMA
1.
(a)
Taja mawanda matatu ya mawasiliano.
(b)
Eleza kwa kina aina zozote nne za mawasiliano
2.
Marejeleo ni kipengele muhimu sana katika mawasiliano. Huku ukitumia mifano mwafaka, eleza mitindo yoyote mitano ya marejeleo.
3.
Hotuba ni mazungumzo lakini si mazungumzo ya kawaida? Jadili kauli hii kwa kubainisha sifa maalum za hotuba.
4.
Jadili sura mbalimbali ambazo waweza kutumia katika kupambanua mazungumzo ya kawaida na aina yoyote nyingine ya mazungumzo.
5.
Makosa mengi ya kitahajia hutokana na athari za lugha za Kwanza. Kwa kutoa mifano mahsusi, jadili hoja hii.
6.
(a)
Taja alama za uwakifishaji wa mwisho na ndani ya sentensi.
(b)
Eleza namna alama za uwakifishaji wa mwisho wa sentnsi hutumiwa katika maandishi.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers