Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Kis 411: Modern Kiswahili Poetry Question Paper

Kis 411: Modern Kiswahili Poetry 

Course:Bachelor Of Arts

Institution: Moi University question papers

Exam Year:2011



Maagizo: Jibu maswali manner: Mawili kutoka kila sehemu.

Sehemu A

1. Kwa kuzingatia maoni ya wataalamu wanne, tathmini kile wanachokifafanua kama "Ushairi wa Kiswahili".

2. Fafanua sababu nne zilizochangia mgogoro katika ushairi wa kiswahili.

3. Toa maelezo sadifu ya fani na maudhui kuhusu bahari zozote tatu za ushairi wa kiswahili.

Sehemu B

4. Chambua dhamira mbili miongoni mwa zilizoorodheshwa na ubainishe jinsi zilivyoshughulikiwa na Shaaban Robert katika mashairi yake.
a) Wanawake
b) Siasa
c) Kiswahili
d) Dini

5. Changanua matumizi ya kunga tatu za fani na jinsi zilivyotumika katika "Malenga wa Bara".

6. Eleza vipengele vitatu vya fani na jinsi binary of an I misha dhamira kuu ya shairi " Viberiti Vitawaka" LA M.M. Mulokozi.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers