Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Kiswahili Poetry  Question Paper

Kiswahili Poetry  

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2009



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2008/2009
INSTITUTIONAL BASED PROGRAMME

EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS AND
BACHELOR OF EDUCATION

AKS 402:
KISWAHILI POETRY


DATE: WEDNESDAY 2ND SEPTEMBER 2009 TIME: 8.00 A.M. ? 10.00 A.M.

MAAGIZO
-
Jibu swali la kwanza na mengine mawili.


1.
Kwa kuzingatia vipengele vitano mahsusi, eleza namna mashairi ya Kiswahili yanavyoweza kuainishwa.
2.
Fafanua namna mwanakupona alivyomshauri bintiye kuhusu maisha ya ndoa.
3.
Muyaka aliimarisha vipi utunzi wa mashairi ya Kiswahili kifani?
4.
Onyesha namna Abdilatif Abdalla (Sauti ya Dhiki) alivyotumia jazanda na dhihaka kusawiri maudhui ya wema na dhuluma.
5.
E. Kezilahabi alizingatia falsafa ya utamaushi katika kusawiri maana ya maisha. Fafanua kwa kurejelea ?Kisu Mkononi? na ?Nimechoka?.
6.
Shaaban Robert alilishughulikia vipi swala la pesa katika ushairi wake?






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers