Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Aki 201: Theory And Standardization Of Kiswahili Question Paper

Aki 201: Theory And Standardization Of Kiswahili 

Course:Bachelor Of Education

Institution: Jaramogi Oginga Odinga University Of Science And Technology question papers

Exam Year:2017






JARAMOGI OGINGA ODINGA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY
SCHOOL OF EDUCATION
UNIVERSITY EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF EDUCATION WITH IT
2ND YEAR 1ST SEMESTER 2017/2018 ACADEMIC YEAR
MAIN/KISIICAMPUS
COURSE CODE: AKI 201
COURSE TITLE: THEORY AND STANDARDIZATION OF KISWAHILI
EXAM VENUE: STREAM: BED-ARTS (REGULAR)
DATE: EXAM SESSION: DECEMBER,2017
TIME: 2 HOURS

Instructions:
1. Answer Question ONE (COMPULSORY) and ANY other 2 questions
2. Candidates are advised not to write on the question paper.
3. Candidates must hand in their answer booklets to the invigilator while in the examination room.




SWALI LA LAZIMA
a) Kwa kifupi, fafanua Fafanua dhana zifuatazo:
i) Lugha Sanifu (Alama 4)
ii) Upangaji wa lugha (Alama 4)
b) Eleza sababu zozote TANO za kupanga lugha. (Alama 10)
c) Jadili Vikwazo vyovyote SITA vinavyoweza kutinga Shughuli ya upangaji lugha. (Alama 12)



SWALI LA PILI
Eleza maana, sababu na utaratibu wa usanifishaji lugha. (Alama 20)



SWALI LA TATU
a) Eleza sababu zilizopelekea lahaja ya Kiunguja kuchaguliwa kuwaama msingi wa kusanifisha Kiswahili. (Alama 10)
b) Mbinu zilizotumiwa kusanifisha Kiswahili baina ya 1930 – 1938 zilibainisha udhaifu mwingi. Kumetokea haja ya kusanifisha upya lugha hii. Tathmini kauli hii. (Alama 10)



SWALI LA NNE
Jadili mikakati MITANO ya uundaji wa istilahi na matatizo yake katika Kiswahili. (Alama 20)


SWALI LA TANO
Fafanua maendeleo ya Kiswahili baada ya uhuru nchini Tanzania. (Alama 20)






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers