Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Aki 305: Kiswahili Novel Question Paper

Aki 305: Kiswahili Novel 

Course:Bachelor Of Education

Institution: Jaramogi Oginga Odinga University Of Science And Technology question papers

Exam Year:2017






JARAMOGI OGINGA ODINGA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY
SCHOOL OF EDUCATION
UNIVERSITY EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF EDUCATION WITH IT
3RD YEAR 1ST SEMESTER 2017/2018 ACADEMIC YEAR
MAIN CAMPUS
COURSE CODE: AKI 305
COURSE TITLE: KISWAHILI NOVEL
EXAM VENUE: STREAM: BED-ARTS (REGULAR)
DATE: EXAM SESSION: DECEMBER,2017
TIME: 2 HOURS

Instructions:
1. Answer Question ONE (COMPULSORY) and ANY other 2 questions
2. Candidates are advised not to write on the question paper.
3. Candidates must hand in their answer booklets to the invigilator while in the examination room.




SWALI LA LAZIMA
a) Kwa tafsili, fafanua dhana ya ‘Riwaya’. (Alama 10)
b) Jadili mapisi yaliyochangia ukuaji wa riwaya ya Kiswahili kati ya miaka 1950 hadi miaka ya 2000. (Alama 20)




SWALI LA PILI
Kwa kurejelea kipengele cha wahusika na uhusika, jadili jinsi vipengele hivyo vimesaidia katika kuikuza ama riwaya ya Kusadikika (Shaaban, 1951) au Kuli (Shafi, 1976). (Alama 20)




SWALI LA TATU
Riwaya ya Nyota ya Rehema (Mohammed, 1976) fumbo ambalo linaeleza imani ya mwandishi kwamba maisha ni majaaliwa. Jadili. (Alama 20)




SWALI LA NNE
Kwa kurejelea riwaya ya Bina-Adamu (Wamitila, 2002) eleza usawiri wa vipengele vya fani vifuatavyo: (Alama 20)
a) Tamathali za usemi
b) Mandhari
c) Mtindo
d) Usimulizi




SWALI LA TANO
‘Rosa Mistika (Kezilahabi, 1971) ni mfano wa riwaya ya mwandishi aliyekata tamaa.’ Thibitisha kwa mifano mwafaka. (Alama 20)






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers