Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Morphology And Syntax  Question Paper

Morphology And Syntax  

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2009



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2008/2009
SECOND SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF
ARTS AND BACHELOR OF EDUCATION
AKS 300: MORPHOLOGY & SYNTAX

DATE: WEDNESDAY, 16TH SEPTEMBER 2009 TIME: 8.00 A.M. - 10.00 A.M.

AGIZO: JIBU MASWALI YOYOTE MATATU.

1.
Linganua dhana hizi
(a)
Mofolojia nyambuaji/ mofolojia ambishi
(b)
Mofu/alomofu
(c)
Utohozi/ukopaji sisisi
2.
Mofimu mzizi ndicho kiini cha mofimu zote. Fafanua.
3.
Kwa kutoa mifano mwafaka, eleza sababu zinazopelekea lugha kuunda maneno.
4.
(a)
Taja mihimili minne ya nadharia ya kimapokeo.
(b)
Kwa kutoa mifano ya Kiswahili bainisha waziwazi udhaifu wa nadharia hii.
5.
(a)
Eleza vifupisho hivi katika lugha ya Kiswahili
i)
KN
ii)
KKV
iii)
KT
iv)
KKH
v)
KL
b)
Tunga sentensi sanifu za Kiswahili zinazosheheni vifupisho hivyo.
6.
Kwa kutoa mifano eleza dhana hizi.
(a)
Ugeuzaji
(b)
Sarufi
elekezi
(c)
Umilisi






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers