Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Kiswahili Poetry  Question Paper

Kiswahili Poetry  

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2007



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2006/2007
FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF
ARTS
AK~.19~.:
...KJ~W.A~H~lr.Q~IR¥.
DATE: Wednesday ih February, 2007
TIME: 2.00 p.m. - 4.00 p.m.
AGIZO
Jibu maswali matatu. Swali la kwanza ni la lazima.
1.
Kwa kuzingatia mifano inayofaa, fafanua mambo muhimu yanayozingatiwa na mtunzi wa ushairi wa Kiswahili.
2.
"Mgogoro katika taaluma ya ushairi wa Kiswahili haupasi kuwepo". Jadili kauli hii.
3.
Huku ukirejelea utenzi wa Inkishafi au Mashairi ya Muyaka, dhihirisha kuwa fasihi haiibuki katika ombwe tupu.
4.
Fafanua falsafa ya E. Kezilahabi au K. K. Kahigi na M. M. Mulokozi kuhusu jamii.
5.
Swala la maadili limeshughulikiwa sana katika mashairi ya Shaaban Robert'. Fafanua madai haya kwa kuzingatia mifano mahususi.
6.
Abdilatif Abdalla katika Sauti ya Dhiki na Said A. Mohamed katika Sikate tamaa wana mitazamo inayofanana kuhusu siasa. Jadili.
7.
Tathmini nafasi ya Utenzi wa Mwanakupona katika jamii ya kisasa.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers