Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Contemporary Kiswahili Novel And Play Question Paper

Contemporary Kiswahili Novel And Play 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2009



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2008/2009
INSTITUTE OF OPEN LEARNING
EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS AND BACHELOR
OF EDUCATION

AKS 303: CONTEMPORARY KISWAHILI NOVEL AND PLAY
=================================================================
DATE: WEDNESDAY 12TH AUGUST 2009 TIME: 2.00 P.M. ? 4.00 P.M.

INSTRUCTIONS:
Jibu Maswali Matatu. Swali moja kutoka kila sehemu.


Sehemu A (Nadharia)
1.
Huku ukirejelea riwaya ya Mwisho wa Kosa jadili sifa kuu za riwaya.
2.
Jadili sifa sita za tamthilia huku ukirejelea tamthilia ya Pango.

Sehemu B (Riwaya)
3.
Onyesha jinsi wahusika wawili katika riwaya ya Kufa Kuzikana wanavyojizatiti kupigana na maovu ya kijamii.
4.
Chagua mbinu nne za kimtindo zilizotumiwa na Z. Burhani katika Mwisho wa Kosa. Fafanua mbinu hizo na kisha uonyeshe jinsi zilivyomfanikisha mtunzi kuzungumzia maudhui yake.

Sehemu C (Tamthilia)
5.
Mwandishi wa tamthilia ya Kifo Kisimani ana matumaini makubwa kuhusu dhima ya kizazi kichanga?. Kwa kurejelea tamthilia hii jadili.
6.
Mtunzi wa Tamthilia ya Pango ametumia mbinu nyingi za kisanaa kuwasilisha dhamira zake. Chagua nne na uonyeshe jinsi zilivyotumiwa.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers