Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Language Skills In Kiswahili Question Paper

Language Skills In Kiswahili 

Course:Bachelor Of Arts In Kiswahili And Communication

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2010



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2009/2010
EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF EDUCATION (ARTS
AND BACHELOR OF ARTS
AKS 101: LANGUAGE SKILLS IN KISWAHILI

DATE: Thursday 22nd July, 2010 TIME: 8.00 a.m. ? 10.00 a.m.
________________________________________________________________________
AGIZO:
Jibu maswali MATATU. Swali LA KWANZA ni la LAZIMA.

1.
Eleza maana ya mawasiliano na uonyeshe nafasi ya vipengele vifuatavyo katika mchakato wa mawasiliano
(a)
Usimbaji na usimbuaji
(b)
Kelele
[Alama 24]
2.
Ukitoa mifano, fafanua mawanda yoyote mawili ya mawasiliano kwa mujibu wa Condon (1975). [Alama 23]
3.
Eleza maana ya tanbihi na ubainishe aina tatu za tanbihi. [Alama 23]
4.
Ukitoa mifano mwafaka, eleza sifa na nafasi ya mazungumzo ya kawaida kama sajili ya mawasiliano. [Alama 23]
5.
Fafanua hatua zozote tano utakazofuata katika kuandika insha ya utafiti maktabani. [Alama 23]
6.
Bainisha namna nne ambavyo stadi ya ufupisho inaweza kukufaa kama mwanafunzi na ueleze stadi tano zinazoweza kukusaidia kuwa mfupishaji mfaulifu. [Alama 23]






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers