Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Language Skills In Kiswahili Ii  Question Paper

Language Skills In Kiswahili Ii  

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2007



KENY ATT A UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 200612007
FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS
AND BACHELOR OF EDUCATION (ARTS)
AKS 202:
LANGUAGE SKILLS IN KISW AHILI II
DATE: Tuesday, 6th February, 2007
TIME: 4.30 p.m. - 6.30 p.m.
AGIZO
Jibu swali 1aKWANZA na mengine mawili yoyote.
1.
"Mawasiliano bora hutegemea uwezo wa kutambua miktanda na mitindo ya matumizi ya
lugha." Fafanua kauli hii kwa kutumia mifano mwafaka.
2.
Eleza umuhimu wa lugha katika mawasiliano yajamii.
3.
Eleza mambo ya kuzingatia katika kutayarisha maswali ya hojaji.
4.
Eleza vipengele muhimu vinavyopaswa kuzingatiwa katika uandishi wa kumbukumbu za
mikutano.
5.
Kwa kutoa mfano mwafaka, eleza kanuni muhimu za kuandika ripoti ya uchunguzi.
6.
Eleza mfanano na tofauti kati ya mawasiliano ya kimaandishi na yale ya kimazungumzo.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers