Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Contemporary Kiswahili Novel And Play  Question Paper

Contemporary Kiswahili Novel And Play  

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2007



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY
EXAMINATIONS
2006/2007
SECOND SEMESTER
EXAMINATION
FOR THE DEGREE OF BACHELOR
OF ARTS AND EDUCATION
A~.~Q~.: ...~.QNI~.MfQ~¥..KU?:W..~JJl~X.~QY.~~ANP..P.~A¥.
DATE:
Monday 30th July, 2007
TIME:
10.30 a.m. - 12.30 p.m.
MAAGIZO
Jibu maswali matatu.
Swali moja kutoka kila sehemu.
SEHEMU YA A: NADHARIA
1.
Huku ukitoa mifano, eleza ulinganifu na tofauti kati ya mhusika mkuu katika riwaya kisa na riwaya ya kisasa.
2.
Kwa kurejelea tamthilia zozote ulizosoma, jadili sifa muhimu za tamthilia.

SEHEMUYAB:
RIWAYA
3.
Jadili umuhimu wa miktadha ya nchi ya Dzombo na nchi ya Walenisi katika kuendeleza maudhui ya ukombozi kama inavyobainika katika riwaya ya Walenisi (Mkangi).
4.
Kwa kuwarejelea wahusika watatu katika riwaya ya Mwisho wa Kosa (Burhani) na watatu katika riwaya ya Kiu (Mohamed), onyesha jinsi waandishi wanavyojenga maudhui ya ubinafsi.

SEHEMU YA C:
TAMTHILIA
5.
Onyesha dhima ya vijana katika tamthilia ya Kifo Kisimani (Kith aka Mberia) na tamthilia ya Pan go (K.W. Wamitila).
6.
Ainishajazanda nne kutoka katika tamthilia ya Mashetani (E.N. Hussein) na uonyeshajinsi mtunzi anavyozitumia kusawiri dhamira za ukoloni na ukoloni mamboleo.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers