Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Contemporary Kiswahili Novel And Play  Question Paper

Contemporary Kiswahili Novel And Play  

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2009



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2009/2010
FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS
AND BACHELOR OF EDUCATION
AKS 303: CONTEMPORARY KISWAHILI NOVEL & PLAY

DATE: Tuesday 29th December, 2009

TIME: 2.00 p.m ? 4.00 p.m

JIBU MASWALI MATATU, SWALI MOJA KUTOKA KILA SEHEMU.

SEHEMU YA A
1.
Jadili vipengele vikuu vinavyopaswa kuzingatiwa katika uhakiki wa riwaya.
2.
Uainisho wa tamthilia za Kiswahili katika vipera tofauti tofauti ni tata?. Kwa kurejelea tamthilia mbali mbali, jadili.

SEHEMU YA B
3.
Hadithi hii ni ya kweli. Ni vitendo ambavyo wengi wetu tunavijua, kwani vilitendeka hapa kwetu. Watu wengi watakaoisoma hadithi yenyewe pengine watapajua mahali ambapo pametajwa? Tathmini kauli hii katika muktadha wa riwaya ya Kaburi Bila Msalaba (P.M. Kareithi).
4.
Ama:
Ainisha vipengele vitano vya kimtindo na uonyeshe jinsi S. A. Muhamed alivyovitumia katika riwaya ya Utengano.
Au:
Ichanganue riwaya ya Walenisi kama kazi ya kimajazi.

SEHEMU YA ?C?
5.
Onyesha matumizi ya kikengeushi kama mbinu ya mtindo katika tamthilia ya Mashetani (E. Hussein).
6.
Linganisha na ulinganue dhima za viongozi katika tamthilia za Visiki (K. Ongeti) na Zilizala (Kimani Njogu).






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers