Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Second Language Learning  Question Paper

Second Language Learning  

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2009



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2009/2010
FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF
ARTS
AKS 401: SECOND LANGUAGE LEARNING

DATE: Tuesday 22nd December, 2009 TIME: 8.00 a.m. ? 10.00 a.m.

AGIZO
Jibu swali la kwanza na maswali mengine mawili.

1.
Eleza jinsi nadharia ya Lugha Kadirifu inavyotumiwa katika uchanganuzi wa makosa ya wanafunzi wa lugha ya pili kwa mujibu wa Selinker (1972). [alama 26]
2.
(a)
Fafanua sababu zinazowafanya watu kujifunza lugha ya pili. [alama 11]
(b)
Jadili uhusiano uliopo baina ya sababu za kujifunza lugha ya pili na kiwango cha umilisi ambacho mtu hufikia katika lugha hiyo. [alama 11]
3.
Tathmini mbinu nne zozote zinazoweza kutumiwa katika utafiti wa lugha ya pili. [alama 22]
4.
Eleza jinsi utafiti wa lugha ya pili unavyoweza kuchangia uandishi was vitabu bora vya kufundishia lugha ya pili. [alama 22]
5.
Jadili masuala matatu yoyote ambayo hufanyiwa utafiti katika lugha ya pili. [alama 22]
6.
Bainisha mikakati kumi yoyote ambayo hutumiwa na wazungumzaji wa lugha ya pili ili kukabiliana na vikwazo vya mawasiliano. [alama 22]






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers