Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Socialinguistics  Question Paper

Socialinguistics  

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2009



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2008/2009
SECOND SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR
OF ARTS AND BACHELOR OF EDUCATION
AKS 400: SOCIOLINGUISTICS



DATE:
Monday 30th March 2009 TIME: 8.00am-10.00am


MAAGIZO
Jibu swali la KWANZA na mengine mawili
1.
Kwa kurejelea matumizi ya Kiswahili katika mikitadha mbalimbali ya kijamii, tathmini umuhimu wa dhana zifuatazo:
a) jamii lugha
b) lugha mwiko
c) umilisi mawasiliano
[alama 24]
2.
Tofautisha dhima tano za kijamii zinazotekelezwa kupitia lugha kama chombo cha mawasiliano [alama 23]
3.
Bainisha dhana ya utamaduni ekolojia kwa mujibu wa Nida (1964) huku ukionyesha nafasi ya lugha katika ubainifu husika. [alama 23]
4.
Fafanua kwa tafsili, na udhihirishe kikamilifu, dhana ya lugha mtagusano. [alama 23]
5.
Jadili vigezo vitatu vinavyohimili rai kwamba Sheng? ni lahaja ya kijamii? [alama 23
6.
Tetea maswala matatu muhimu yanayofaa kufikiriwa, wakati wa kupanga sera ya lugha. [alama 23]






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers