Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Kiswahili Structure  Question Paper

Kiswahili Structure  

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2008



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2007/2008
INSTITUTE OF OPEN LEARNING
FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF
ARTS
AKS 301: KISWAHILI STRUCTURE

------------------------------------------------------------------------------------------------------------
DATE: THURSDAY 10th JANUARY 2008 TIME: 3.30PM ? 5.30PM
===============================================================

MAAGIZO: Jibu maswali yoyote MATATU.

1. Ainisha fonimu za Kiswahili kwa kuzingatia misingi ifuatayo:
(a) Mahali pa kutamkia
(b) Jinsi ya kutamka

2. Fafanua aina zozote tano za viambishi hali katika kitenzi cha Kiswahili.

3. Jadili dhana ya ?mnyambuliko wa vitenzi? huku ukizingatia kauli zifuatazo:
(a) Kauli ya Kutendwa
(b) Kauli ya Kutendewa
(c) Kauli ya Kutendesha

4. ?Ngeli za Kiswahili zilipangwa kuzingatia umoja na wingi katika viambishi vya
Nomino.? Jadili utoshelevu wa kauli hii.

5. Toa maelezo mwafaka juu ya:
(a) Kirai
(b) Kishazi
(c) Sentensi

6. Eleza aina mbalimbali za viwakilishi, na uonyeshe tofauti iliyoko kati ya Viwakilishi-
nafsi-huru na Viwakilishi-nafsi-viambata.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers