Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Introduction To The Study Of Language  Question Paper

Introduction To The Study Of Language  

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2010



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2008/2009
INSTITUTE OF OPEN LEARNING (IOL)
EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS

AKS 100: INTRODUCTION TO THE STUDY OF LANGUAGE

DATE: Thursday 18th February 2010

TIME: 11.00a.m ? 1.00pm

MAAGIZO: JIBU MASWALI MATATU:

1.
Eleza kwa tafsili sifa nne kuu zozote za lugha.
2.
Fafanua dhana zifuatazo huku ukizitolea mifano:
a)
Fonolojia
b)
Lugha manne
c)
Lingua Franca
d)
Jumuiya lugha
3.
Isimu ni sayansi ya lugha?. Jadili.
4.
Onyesha uhusiano uliopo baina ya; isimu na:-
a)
Anthropolojia
b)
Historia
c)
Saikolojia
5.
a)
Kwa kurejelea wataalamu watatu, eleza maana ya lahaja.
b)
Eleza jinsi lahaja kijiografia inavyozuka.
c)
Onyesha unavyoweza kupambanua lugha na lahaja
6.
a)
Eleza mambo matano yanayosababisha uwili lugha.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers