Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Theories Of Literally Criticism  Question Paper

Theories Of Literally Criticism  

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2007



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2006/2007
FIRst
SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF
EDUCATION AND BACHELOR OF ARTS
AKS 302: THEORIES OF LITERARY CRITICISM
DATE: Tuesday 20th February 2007
TIME: 10.30a.m-12.3Op.m
---------------------------------
INSTRUCTIONS:
Jibu maswali MATA TV. Swali la KWANZA ni la lazima
1. Kwa kutoa mifano, eleza nafasi ya nadharia katika uhakiki wa fasihi ya Kiswahili.
2. Kwa kurejelea tamthilia ya mfalme Edipode (Sofokile), fafanua zifa kuu za urasmi
mkongwe.
3. Mwandishi wa riwaya ya Kiu (M.S. Mohamed) amefaulu vipi katika kutumia
nadharia ya uhalisia
4. Kwa maoni yako, nadharia ya umisai au mtazamo kike imeshughulikia maswala ya
kiuana kikamilifu? Toa mifano.
5. Udhanaishi ni nini? Kwa kutoa mifano, onyesha namna udhanaishi unavyofafanua
dhana ya maisha.
6. Ni kwajinsi gani tamthilia ya kifo kisimani (K' wa Mberia) unavyoweza kuitwa kazi
inayodhihinisha uhalizia wa kijamaa?






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers