Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Kiswahili Structure  Question Paper

Kiswahili Structure  

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2007



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2006/2007
SECOND SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR
OF ARTS
A~)Q.~.:...~.~W.!~J:U~L~.I.R~.~.TY..~
DATE: Tuesday 24th July, 2007
TIME: 4.30 p.m. - 5.30 p.m.
MAAGIZO
Jibu maswali matatu.
1.
(a)
Fafanua misingi mine inayotumiwa katika kuainisha fonimu za lugha ya Kiswahili.
(b)
Kwa kurejelea misingi uliyofafanua katika lea) ainisha fonimu za KONSONANTI za Kiswahili.
2.
Bainisha mikondo yoyote muhimu ya matamshi.
3.
(a)
Taja aina za manenoya Kiswahili na ueleze matumizi ya aina NNE za maneno hayo.
(b)
Eleza utata wa kuainisha maneno ya lugha.
4.
(a)
Bainisha mipangilio MITATU mikuu ya ngeli za nomino za Kiswahili.
(b)
Onyesha udhaifu na umuhimu wa mojawapo ya mipangilio ya ngeli za nomino za Kiswahili.
5.
Tambulisha ALOMOFU zinazodhihirika katika jinsi zifuatazo za vitenzi:
(a)
Kutendewa
(b)
Kutendata
(c)
Kutendeka
(d)
Kutendesha
6.
Ukitumia sentensi za Kiswahili, bainisha maana na uonyeshe matumizi ya vipashio vifuatavyo.
(a)
Virai na vishazi
(b)
Kiima na Kiarifu
(c)
Shamirisho na chagizo






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers