Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Kiswahili Structure Question Paper

Kiswahili Structure 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2010



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2008/2009
INSTITUTE OF OPEN LEARNING

EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS

AKS 301:
KISWAHILI STRUCTURE

=================================================================
DATE: THURSDAY 18TH FEBRUARY 2010
TIME: 2.00 P.M ? 400 P.M.

MAAGIZO
Jibu Maswali MATATU
Swali La Kwanza ni La Lazima

1.
Fafanua nadharia ya Lugha ya John Hughes (1967) kuwa: "Lugha ni mfumo wa nasibu wa alama za sauti ambao husafirisha fikra kutoka mtu mmoja hadi mwingine".
2.
Fafanua vipashio vifuatavyo vya lugha:
a)
Neno
b)
Kikundi jina
c)
Kishari
3.
Kwa kutunga sentensi sahihi za Kiswahili, onyesha nafasi na matumizi ya:
a)
Kitenzi
b)
Shamirisho
c)
Kishazi
4.
Eleza maana ya mofimu na ubainishe aina tatu za mofimu.
5.
Bainisha viambishi kanushi vya vitenzi katika nyakati mbalimbali.
6.
Fafanua dhana ya "upatanisho wa Kisanifu" kwa kuzingatia vivumishi na viwakilishi vya kiswahili.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers