📘 Access 10,000+ CBC Exams With Marking Schemes

Prepare your learners for success! Get CBC-aligned exams for Grades 1–9, PP1–PP2, Playgroup and High School - all with marking schemes.

Browse Exams

Instant download • Trusted by 100,000+ teachers • Updated weekly

Oral Literature In Kiswahili  Question Paper

Oral Literature In Kiswahili  

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2009



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2009/2010
FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF
EDUCATION AND BACHELOR OF ARTS

AKS 403: ORAL LITERATURE IN KISWWAHILI

DATE: Tuesday 29th December, 2009

TIME: 8.00 a.m ? 10 .00 a.m
------------------------------------------------------------------------------------------------------------
MAAGIZO:
Jibu Swali la Kwanza na mengine mawili

1.
Fasihi simulizi ni Kitovu cha Fasihi Andishi?.
2.
a)
Eleza umuhimu wa fanani na hadhira katika uhakiki wa sanaa ya maigizo
Au nyimbo.
b)
Fafanua dhima ya utanzu huo mmoja katika jamii yako.
3.
Tathmini ubora na udhaifu wa mbinu tatu za utafiti wa Fasihi simulizi.
4.
Huku ukitoa mifano inayofaa, linganisha na ulinganue utanzu wa methali na utanzu wa kitendawili.
5.
a)
Fafanua njia mbili muhimu zinazoweza kutumiwa katika uainishaji wa tanzu za fasihi simulizi.
b)
Eleza matatizo yanayoweza kuzuka kwa kuzingatia njia hizo mbili.
c)
Eleza kwa kifupi namna matatizo hayo yanayoweza kukabiliwa.
6.
Wakati huu wa sasa nchini Kenya kuna mitindo ya kimajaribio inayotumiwa katika uhifadhi na uwasilishaji wa tanzu mbalimbali za fasihi simulizi? Fafanua kauli hii kwa kurejelea mifano inayofaa.






More Question Papers


Exams With Marking Schemes

End Term 3 Exams

Mid Term Exams

End Term 1 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers