Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Introduction To The Study Of Language Question Paper

Introduction To The Study Of Language 

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2008




KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2007/2008
INSTITUTE OF OPEN LEARNING
EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS
AKS 100: INTRODUCTION TO THE STUDY OF LANGUAGE

DATE: Wednesday 9th January, 2008 TIME: 10.30 a.m. ? 12.30 p.m.
________________________________________________________________________

MAAGIZO: Jibu maswali matatu tu. Swali la KWANZA ni la lazima.

1. Mawasiliano ya wanyama na lugha ya binadamu yanafanana na kutofautiana. Jadili.

2. Eleza umuhimu wa vipengele vya Isimu katika uchanganuzi wa lugha.

3. Kwa maoni yako, ni mambo gani ya msingi yaliyochangia kuzuka kwa lugha?

4. Watoto huzaliwa na kipawa cha lugha lakini ukuzaji wa kipawa hicho hutegemea
mambo mbalimbali.? Fafanua kauli hii kwa kuzingatia mifano inayofaa.

5. Andika hotuba juu ya umuhimu wa lugha ya Kiswahili.

6. Ili mwanajamii awe mweledi wa lugha anahitaji kuwa mwenye ujuzi wa aina gani?






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers