Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Introduction To The Study Of Language  Question Paper

Introduction To The Study Of Language  

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2009



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2008/2009
SECOND SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF
ARTS AND BACHELOR OF EDUCATION
AKS 100: INTRODUCTION TO THE STUDY OF LANGUAGE

DATE: MONDAY, 24TH AUGUST 2009
TIME: 11.00 A.M. - 1.00 P.M.

AGIZO: Jibu maswali MATATU.

1.
Lugha ya binadamu ni ya kionomatopea. Jadili.
2.
Fafanua kwa tafsili dhana zifuatazo:
(a)
fonolojia
(b)
lugha kama mfumo
(c)
lugha mame
(d)
lingua franca
3.
Kuna mfanano mkubwa kati ya densi ya nyuki na lugha ya binadamu, hasa tukizingatia sifa za ubunifu, uhamishaji na umakinikaji? (Hocket 1958: 581). Jadili.
4.
Eleza na utathmini nadharia yo yote moja inayoelezea asili ya lugha ya binadamu.
5.
Umilisi wa lugha hauwezi kilingana na utendaji wa lugha kwa sababu mbali mbali.?
Fafanua kauli hii.
6.
Onyesha jinsi ujuzi wa kiisimu unavyoweza kumfaa mtaalamu katika nyanja zifuatazo:
(a)
tafsiri
(b)
ufunzaji
lugha
(c)
mawasiliano
(d)
upangaji lugha






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers