Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Morphology And Syntax  Question Paper

Morphology And Syntax  

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2006



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2005/2006
INSTITUTE OF CONTINUING EDUCATION (SSP-SCHOOL BASED)
EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS
AKS 300: MORPHOLOGY
AND SYNTAX
DATE: Wednesday 27 December 2006
TIME: 1.0Op.m-5.0Op.m
------------
INSTRUCTIONS:
Jibu Maswali MATATU: Swali la KWANZA ni la lazima
1. Linganua dhana hizi:
(a) Mofolojia ambishaji 1Mofolojia nyambuaji
(b) Mzizi 1 Shina
(c) Alomofu 1Mofu
[Alama20]
2. Kwa kutoa mifano mwafakaeleza kawa tafsili sifa hizi za mofunu;
(a) Mofimu ni kipashio chenye umbo halisi
(b) Kila mofimu huwa na maana.
(c) Kila mofimu ina nafasi yake kisarufi.
3. "Vundaji maneno ni jambo linaloendelea". Fafanua kauli hii kupitia kwa mbinu zozote tatu.

SEHEMU
B:
4. Kwa kutaja slfa mil za nadharia ya kimapokeo, bainisha mchango wake katika sartifi kwa ujumla. [Alama IS]
5. Changanua sentensi hizi kwa mkabala wa sarufi miundo
(a) Wanafunzi wanapenda ugali kwa nyama.
(b) Wageni wote walifika mapema
(c) Yule ni mhubiri shupavu.
(d) Watu wengi hawatapiga kura
(e) Wote wamekuwa wakisomea chuoni
[Alama 15]
6. Fafanua dhana hizi:
(a) Sentensi ambatano
(b) Sarufi elekezi / fafanuzi
(c) Kikundi kielezi.
[Alama 15]






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers