Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Second Language Learning  Question Paper

Second Language Learning  

Course:Bachelor Of Education In Kiswahili

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2007



KENY ATT A UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS
2007/2008
FIRST SEMESTER EXAMINATION
FOR THE DEGREE OF BACHELOR
OF ARTS
AKS 401: SECOND LANGUAGE LEARNING
DA TE: Monday 26th November 2007
TIME: 8.00 - 10.00 a.m.
-------------------------------------------------------------------------------------------------------
MAAGIZO:
Jibu swali la KWANZA na mengine mawili.
1. "Watu hufanya makosa wanapojifunza lugha ya pili kwa sababu mbalimbali." Jadili sababu hizo kwa kutoa mifano katika Kiswahili. (Alama26)
2. Fafanua maana ya dhana zifuatazo na utoe mifano ifaayo:
(a) Lugha Kadirifu
(b) Kujifunza Lugha
(c) Uziada wa Kisarufi
(Alama 22)
3. Eleza umuhimu wa matokeo ya utafiti wa lugha ya pili kwa walimu na wanafunzi wa lugha hiyo. (Alama 22)
4. Kwa kurejelea lugha ya Kiswahili na lugha nyingine yoyote ya Kiafrika, onyesha jinsi nadharia ya Uchanganuzi Linganuzi (James, 1980) hutumiwa kuchanganua makosa ya wanafunzi wanaojifunza Kiswahili kama lugha ya pili. (Alama 22)
5. Huku ukitoa mifano inayofaa, dhihirisha mikakati mbalimbali ya mawasiliano ambayo hutumiwa na wanafunzi wa lugha ya pili ili kukabiliana na vikwazo vinavyowakumba katika lugha hiyo. (Alama 22)
6. Kwa kutoa mifano, tathmini umuhimu wa mbinu ya 'maswali ya kimuundo' katika utafiti wa Kiswahili kama lugha ya pili. (Alama 22)






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers