📘 Access 10,000+ CBC Exams With Marking Schemes

Prepare your learners for success! Get CBC-aligned exams for Grades 1–9, PP1–PP2, Playgroup and High School - all with marking schemes.

Browse Exams

Instant download • Trusted by 100,000+ teachers • Updated weekly

Kcse Question Paper

Kcse 

Course:Secondary Level

Institution: Kcse question papers

Exam Year:2010



Kenya Certificate of Secondary Education
Kiswahili Karatasi ya 1 (Paper 1)
INSHA
Oct/Nov 2010

Muda: Saa 1¾

Maagizo

(a) Andika insha mbili. Insha ya kwanza ni ya lazima.

(b) Kisha changua insha moja nyingine kutoka hizo tatu zilizo bakia

(c) Kila insha isipungue manano 400.

(d) Kila insha ina alama 20.

1. Insha ya Lazima

Andika wasifu wa ndugu yako ambaye amepanga hafla ya kuchangisha pesa za kumgharamia masomo ya Chuo kikuu. (alama 20)

2. Eleza hatua zinazochukuliwa na serikali kupambana na ufisadi hapa nchini. (alama 20)

3. “Wakenya hawawezi kuafikia umoja wa kitaifa iwapo wataendelea kutumia lugha zao za kienyeji.”Jadili. (alama 20)

4. Binadamu ni ngamba hakosi Ia kuamba. (alama 20)






More Question Papers


Exams With Marking Schemes

End Term 3 Exams

Mid Term Exams

End Term 1 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers