📘 Access 10,000+ CBC Exams With Marking Schemes

Prepare your learners for success! Get CBC-aligned exams for Grades 1–9, PP1–PP2, Playgroup and High School - all with marking schemes.

Browse Exams

Instant download • Trusted by 100,000+ teachers • Updated weekly

Mtihani Wa Pamoja Wa Dayosisi Ya Mamabale Karatasi La 102/1 Insha Mei 2016 Question Paper

Mtihani Wa Pamoja Wa Dayosisi Ya Mamabale Karatasi La 102/1 Insha Mei 2016 

Course:Kiswahili

Institution: Form 4 question papers

Exam Year:2016



MTIHANI WA PAMOJA WA DAYOSISI YA NAMBALE
JINA..............,...............NAMBARI..........
SHULE..,.......................SAHIHI..............

KARATASI LA 102/1
INSHA
MEI 2016
SAA 1/3/4

MAAGIZO
.Andika insha mbili ya kwanza ni lazima
.chagua insha mona kutoka kwa zilizobaki tatu
.kila insha isipungue maneno 400
.Andika kwa karatasi ulizopewa.


1. Andika barua kwa mhariri wa gazeti la mvuja ukimweleza namna ya kukabili visa vya ugaidi nchini.


2.Elimu bila malipo katika shule za msingi inakabiliwa na matatizo. jadili kisha ulendekeze njia za kutatua matatizo.

3.Uzuri wa mkakasi ndani kipande mti.

4.Nilikimbia mwa kasi huku napiga miayu ........Endeleza lisa hiki.






More Question Papers


Exams With Marking Schemes

End Term 3 Exams

Mid Term Exams

End Term 1 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers