Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.
Got a question or eager to learn? Discover limitless learning on WhatsApp now - Start Now!

Kiswahili Karatasi 1:Insha Question Paper

Kiswahili Karatasi 1:Insha 

Course:Secondary Level

Institution: Kcse question papers

Exam Year:2011



INSHA
Muda:Saa
Maagizo
1.Andika insha mbili.Insha ya kwanza ni ya lazima.
2.Kisha chagua insha moja yingine kutoka kwa hizo tatu zilizobakia.
3.Kila insha isipungue maneno 400.
4.Kila insha ina alama 20.
5.Karatasi hii ina kurasa 2 zilizopigwa chapa.
6.Watahiniwa ni lazima wahakikishe kwamba kurasa zote za karatasi hii zimepigwa chapa sawasawa na maswali yote yamo.

1.Insha ya lazima.
Wewe kama mwanafunzi umepata nafasi kumhoji Mkurugenzi wa Habari nchini kuhusu umuhimu wa magazeti kwa wanafunzi wa shule za sekondari.Andika mahojiano hayo.

2."Magari ya matatu yameleta faida nyingi hapa nchini kuliko hasara."Jadili.

3.Pele hupewa msi kucha.

4.Andika insha itakayomalizika kwa:

"Niliipapia ile bilauri ya maji kwa pupa.Sikuwa na uhakika kuwa kiu yangu ingekatika.Nikapiga mafunda mawili,matatu.Baada ya kugumia bilauri yote,ndipo nilipotambua kuwa kweli maji ni uhai."






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers