📘 Access 10,000+ CBC Exams With Marking Schemes

Prepare your learners for success! Get CBC-aligned exams for Grades 1–9, PP1–PP2, Playgroup and High School - all with marking schemes.

Browse Exams

Instant download • Trusted by 100,000+ teachers • Updated weekly

Kansbag Kiswahili Karatasi 2 Question Paper

Kansbag Kiswahili Karatasi 2 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2009



102/1
KISWAHILI
KARATASI 1
INSHA
SAA 1¾




KANSBAG PROJECTIONS FORM FOUR TERM 1 EXAMINATION 2009
Kenya Certificate of Secondary Education
KISWAHILI
KARATASI 1
SAA 1¾








MAAGIZO
Andika insha mbili. Swali la kwanza ni la lazima.
Kisha chagua insha moja nyingine kutoka hizo tatu zilizobakia.
Kila insha isipungue maneno 400.
Kila insha ina alama 20.


1) Mzee wa mtaa amitisha mkutano wa wakaazi ili kujadili hali ya kuongezeka kwa visa vya ujambazi katika kijiji chake.Andika kumbukumbu za mkutano huo.

2) Eleza vile sekta ya juakali inavyoweza kuinmarishwa hapa nchini

3) Avumaye baharini papa wengine wapo.

4) Mila na desturi ya kuoa wake wengi haifai.











More Question Papers


Exams With Marking Schemes

End Term 3 Exams

Mid Term Exams

End Term 1 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers