📘 Access 10,000+ CBC Exams With Marking Schemes

Prepare your learners for success! Get CBC-aligned exams for Grades 1–9, PP1–PP2, Playgroup and High School - all with marking schemes.

Browse Exams

Instant download • Trusted by 100,000+ teachers • Updated weekly

Kiswahili Karatasi Ya 1 Question Paper

Kiswahili Karatasi Ya 1 

Course:Secondary Level

Institution: Kcse question papers

Exam Year:2011



SHULE YA UPILI YA COVENANT
MSURURU WA PILI MUHULA WA 1
KIDATO CHA TATU
KISWAHILI KARATASI YA 1

MAAGIZO:
•Jibu maswali mawili pekee.
•swali la kwanza ni la lazima.
•kila swali ni alama 20

1.Andika mazungumzo baina ya mkuu wa afya wilayani na mwakijiji mmoja akimwelezea kuhusu mambo ya afya.

2.Wewe ni katibu wa baraza la michezo wilayani.Andika kumbukumbu kuhusu mkutano mkuu wa mwaka uliofanyika katika ukumbi wa jamii wa wilaya mwezi uliopita.

3.kazi ya ufundi ni Nora kuliko za ofisini.Jadili.

4.Mpanda ngazi hushuka.Thibitisha ukweli wa methali hii.






More Question Papers


Exams With Marking Schemes

End Term 3 Exams

Mid Term Exams

End Term 1 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers