📘 Access 10,000+ CBC Exams With Marking Schemes

Prepare your learners for success! Get CBC-aligned exams for Grades 1–9, PP1–PP2, Playgroup and High School - all with marking schemes.

Browse Exams

Instant download • Trusted by 100,000+ teachers • Updated weekly

Kiswahili Paper 1 Question Paper

Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Kcse question papers

Exam Year:2012



102/1
KARATASI YA KWANZA
JULAI /AGOSTI 2012
MUDA:SAA 1 3/4

TATHMINI YA PAMOJA - MWIGO WALAYA ZA KISUMU MASHARIKA NA KASKAZINI.

HATI YA KUHITIMU ELIMU YA SEKONDARI KENYA

MAAGIZO:
°Andika insha mbili ya kwanza ni ya lazima
°kisha chagua insha moja nyingine kutoka hizo tatu zilizobakia.
°kila insha isipungue maneno 400
°kila insha ina alama 20
°karatasi hii ina kurasa 2 iliyopigwa chapa

1.wewe ni katibu wa jopo maalumu lililoteuliwa na waziri wa uchumi.Andika kumbukumbu za mkutano uliojadili jinsi ya kuimarisha nchi kiuchumi.
2.Teknolojia ni kama sarafu ya pande mbili. Jadili.
3.Mtaka cha mvunguni sharti ainame.
4.'Niliamshwa na sauti ya dirisha likifinguliwa polepole.Nje kulivaa weusi wa kutisha ………………'Endeleza.






More Question Papers


Exams With Marking Schemes

End Term 3 Exams

Mid Term Exams

End Term 1 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers