📘 Access 10,000+ CBC Exams With Marking Schemes

Prepare your learners for success! Get CBC-aligned exams for Grades 1–9, PP1–PP2, Playgroup and High School - all with marking schemes.

Browse Exams

Instant download • Trusted by 100,000+ teachers • Updated weekly

Kcse Model Paper Kiswahili Paper 1 Question Paper

Kcse Model Paper Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Kcse question papers

Exam Year:2007



Karatasi 102/1: insha
Muda: saa 1 ¼
Jibu maswali mawili tu. Swali la kwanza ni la lazima. Kila swali lina alama 20.
1. Waziri wa michezo ameteua kamati ya watu kumi kuchunguza na kutoa mapendekezo kuhusu naman ya kuimarisha mchezo wa kandanda nchini Kenya. Andika ripoti ya kamati hiyo wewe kama katibu.
2. Vyombo vya habari vina dhima gani katika jamii?
3. Andika kisa kitakachomalizika kwa maneno haya:
….kumbe lilikuwa jinamizi tu.
4. Jichukulie wewe ni punda. Eleza shida ulizokumbana nazo maishani mwako.






More Question Papers


Exams With Marking Schemes

End Term 3 Exams

Mid Term Exams

End Term 1 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers