Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Kcse Model Paper Kiswahili Paper 1 Question Paper

Kcse Model Paper Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Kcse question papers

Exam Year:2008



Karatasi 102/1: insha
Muda: saa 1 ¼
Jibu maswali mawili tu. Swali la kwanza ni la lazima. Kila swali lina alama 20.
1. Andika kumbukumbu za mkutano wa vijana uliofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa K.I.C.C tarehe 2/6/2007.
2. Andika insha juu ya methali: Mwenda tezi na omo marejeo ni ngamani.
3. Andiika insha inayoanza na maneno yafuatayo: Ulikuwa usiku wa manane niliposikia…
4. Mwanamke sharti aheshimiwe katika jamii. Jadili.






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers